Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bima ya Assemble Insurance, Lilian Deogratias, akizungumzavwakati wa zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na taasisi za Mazingira Plus na TCCI kwa kushirikiana na kampuni hiyo katika Shule ya Msingi Kisiwani, Kigamboni.
Afisa Uhusiano wa Assemble Insurance, Lilian Deogratias, akipanda mti katika Shule ya Msingi Kisiwani iliyopo Wilaya ya Kigamboni wakati wa zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na taasisi za Mazingira Plus na TCCI kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Assemble Insurance, hafla hiyo iliyofanyika shuleni hapo.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi, Kisiwani iliyopo Wilaya ya Kigamboni Abasi Digello,wakati wa zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na taasisi za Mazingira Plus na TCCI kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Assemble Insurance.
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Kisiwani Shadya Shabani akipanda mti katika
zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na Taasisi za Mazingira Plus na TCCI kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Assemble Insurance.
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Kisiwani Mukrimu Salumu, akipanda mti katika zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na Taasisi za Mazingira Plus na TCCI kwa kushirikiana na Assemble Insurance.
Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa Kisiwani Alice Mmbaga, akipanda mti
katika eneo la Shule ya Msingi Kisiwani wakati wa zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na Taasisi za Mazingira Plus na TCCI kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Assemble Insurance.
No comments:
Post a Comment