HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 20, 2024

ASSEMBLE INSURANCE KWA KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MAZINGIRA PLUS WAPANDA MITI SHULE YA MSINGI KISIWANI KIGAMBONI


Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bima ya Assemble  Insurance, Lilian Deogratias, akizungumzav
wakati wa zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na taasisi za Mazingira Plus na TCCI kwa kushirikiana na kampuni hiyo katika Shule ya Msingi Kisiwani, Kigamboni.

Afisa Uhusiano wa Assemble  Insurance, Lilian Deogratias, akipanda mti katika Shule ya Msingi Kisiwani iliyopo Wilaya ya Kigamboni wakati wa zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na taasisi za Mazingira Plus na TCCI kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Assemble Insurance, hafla hiyo iliyofanyika shuleni hapo.

 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi, Kisiwani iliyopo Wilaya ya Kigamboni Abasi Digello,wakati wa zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na taasisi za Mazingira Plus na TCCI kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Assemble Insurance.

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Kisiwani Shadya Shabani akipanda mti katika zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na Taasisi za Mazingira Plus na TCCI kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Assemble Insurance.

Mwanafunzi wa Shule ya Msingi, Kisiwani Mukrimu Salumu, akipanda mti katika zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na Taasisi za Mazingira Plus na TCCI kwa kushirikiana na Assemble  Insurance.

Mwenyekiti wa Serekali ya Mtaa Kisiwani Alice  Mmbaga, akipanda mti katika eneo la Shule ya Msingi Kisiwani wakati wa zoezi la upandaji miti lililoandaliwa na Taasisi za Mazingira Plus na TCCI kwa kushirikiana na Kampuni ya Bima ya Assemble Insurance.

No comments:

Post a Comment

Pages