HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 05, 2024

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Mhe.Helen Clark

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand Mhe. Helen Clark aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Extractive Industries Transparency Initiative (EITI), Waziri Mkuu Mstaafu wa New Zealand Mhe. Helen Clark, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Aprili, 2024.

No comments:

Post a Comment

Pages