 |
Vazi la kitenge ndio vazi lililotawala kwa asilimia 90% siku ya Women's Celebration, mavazi hayo yalioshonwa kwa mitindo aina mbali mbali yaliwapendeza sana wageni waliohudhuria shughuli hiyo pale Diomond Jubilee, V.I.P Hall, march 3,2013.
MITINDO YA NYWELE |
Masuala ya Nywele nayo hayakuwa nyuma katika shughuli hiyo ya Women's Celebration ,Diamond Jubilee V.I.P hall, march 3,2013. Picha zimepigwa na Adam H. Mzee pamoja na John Photo.
No comments:
Post a Comment