January 11, 2013

IGP AKABIDHI PIKIPIKI KWA WAKAGUZI WA TARAFA NCHINI

 Baadhi ya Wakaguzi wa Tarafa wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wakiwa katika pikipiki zao baada ya kukabidhiwa katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi, ambapo jumla ya Pikipiki 564 zimekabidhiwa kwa ajili ya kuzuia uhalifu kwa lengo la matumizi ya Wakaguzi Tarafa wa Polisi Tanzania bara na Majimbo yote ya Zanzibar, program za Safiri Salama na Usalama wetu kwanza.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Said Mwema akimkabidhi pikipiki Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi Suleiman Kova kama ishara ya kukabidhiwa Makamanda wote Tanzania bara na Visiwani ambapo jumla ya Pikipiki 564 zimekabidhiwa kwa ajili ya kuzuia uhalifu kwa lengo la matumizi ya Wakaguzi Tarafa wa Polisi Tanzania bara na Majimbo yote ya Zanzibar, program za Safiri Salama na Usalama wetu kwanza.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Said Mwema akimkabidhi pikipiki Kamanda wa Polisi Kikosi cha Mbwa na Farasi Tanzania Mrakibu wa Polisi Eugen Emmanuel, kwa ajili ya matumizi ya Programu ya Usalama wetu Kwanza.jumla ya Pikipiki 564 zimekabidhiwa kwa ajili ya kuzuia uhalifu kwa lengo la matumizi ya Wakaguzi Tarafa wa Polisi Tanzania bara na Majimbo yote ya Zanzibar, program za Safiri Salama na Usalama wetu kwanza.

No comments:

Post a Comment

Pages