January 01, 2013

KOCHA MPYA MFARANSA PATRICK LIEWING AWASILI KUINOA SIMBA

 Kocha mpya wa klabu ya Simba, mfaransa Patrick Liewing akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam kwa ajili ya kuinoa timu hiyo.
 Katibu wa Simba, Evodius Mtawala akimwongoza kocha mpya wa klabu hiyo, mfaransa Patrick Liewing mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es salaam akitokea Ufaransa 

No comments:

Post a Comment

Pages