Baadhi ya wachzeaji wa Yanga, kutoka kushoto, Said
Bahanuzi, Frank Domayo, Rehani Kibingu, Mbuyu Twite na Didier Kavumbagu, mara
baada ya kuwasili nchini Uturuki juzi, ambako timu hiyo imekwenda kwa michezo
ya kujipima nguvu, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi
Kuu. (Na Mpiga Picha Maalum)
No comments:
Post a Comment