January 19, 2013

MAWAZIRIWANNE WAFANYA ZIARA KATIKA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA


 Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda, akisistiza jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, baada ya ziara ya mawaziri mbalimbali waliotembelea katika Mamlaka ya Bandari Tanzania jana. Katikati ni Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe na Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk. William Mgimwa. (Picha na Habari Mseto Blog)
 
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe akifafanua jambo wakati alipofanya ziara katika Mamlaka ya BandariTanzania. Kushoto ni Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, Waziri wa Fedha,  Waziri wa Fedha na Uchumi, Dk William Mgimwa kuhusu utendaji kazi wa Mamlaka hiyo. 

No comments:

Post a Comment

Pages