January 10, 2013

MCHUNGAJI MTIKILA AONGOZA CHAMA CHA DP KUTOA MAONI YA KATIBA MPYA

  Mwenyekitiwa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila akizungumza katika mkutano uliofanyika leo katika Ofisiza Tume hiyo Jijini Dar es Salaam na Chama hicho kilipowasilisha maoniyao Kuhusu Katiba Mpya mbele ya Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakiongozwa na Jaji Joseph Warioba. Kuliani Katibu waTume, Assaa Rashid na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba.
 MwenyekitiwaTume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph WariobaakizungumzanaViongoziwa Chama cha Democratic (DP) wakiongozwanaMwenyekitiwaoMchungaji Christopher Mtikila(kushoto) waliofikakatika Ofisiza Tume Jijini Dar es Salaam kuwasilisha maoni yao kuhusu Katiba Mpya. Katikati ni Katibu waTume, Assaa Rashid.

No comments:

Post a Comment

Pages