Mchezaji wa timu ya Clouds Media Group, Said Tully akiwania mpira kuku akizongwa na mchezaji wa ya timu ya Gebi Presha ya Magomeni (kushoto) katika mchezo maalumu wa kusherehekea miaka 14 ya Clouds Media Group uliofanyika katika Uwanja wa Tanganyika Packers jijini Dar es Salaam. Gebi Presha ilishinda 2-1.
Kocha wa timu ya Clouds Media, Alex Lwambano akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu yake wakati wa mchezo huo.
Kocha wa Gebi Presha akiwapa mbinu mpya wachezaji wake.
Mshambuliaji wa timu ya Clouds Media, Shaffih Dauda akiipangua ngome ya Gabi Presha.
No comments:
Post a Comment