Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,akifungua pazia kukifungua Kituo cha Afya Bumbwini
Kiongwe,Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini Unguja,
katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,(kulia) Waziri wa Afya
Juma Duni Haji.(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu)
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuuliza suala
Daktari wa huduma za Mama na Mtoto,Halima Abdalla Saidi,wakati
alipotembelea sehemu mbali mbali zinazotoa huduma katika kituo cha Afya
Bumbwini Kiongwe,Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini B,Mkoa wa Kaskazini
Unguja.
No comments:
Post a Comment