Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akipokea
kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Monica Juma
Dhahabu pamoja na pesa iliyokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo
Kenyatta jijini Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania kwenye hafla ya
makabidhiano iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Jumanne Julai 24, 2019.
Jumanne Julai 24, 2019.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akisaidia kuhesabu vipande vya dhahabu huku
akishuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi aliyevipokea kutoka kwa Waziri wa
Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Monica Juma Dhahabu pamoja na pesa
zilizokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini
Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania kwenye hafla ya makabidhiano
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Julai
24, 2019.

Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza baada ya kushuhudia Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi
akipokea kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Monica
Juma Dhahabu pamoja na pesa zilizokamatwa katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania
kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika Ikulu jijini Dar
es salaam leo Jumanne Julai 24, 2019.
es salaam leo Jumanne Julai 24, 2019.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu
Hassan akisalimiana kwa simu ya mkononi na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe
Jomo Kenyatta baada ya viongozi hao kushuhudia Waziri wa Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akipokewa
kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Monica Juma
Dhahabu pamoja na pesa iliyokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi
zikitoroshwa kutoka Tanzania kwenye hafla ya makabidhiano iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Julai 24, 2019. Kushoto ni Makamu
wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akifuatiwa na Mhe Monica Juma. Kutoka
kulia ni Waziri wa Madini Mhe. Dotto Biteko akifuatiwa na Profesa Kabudi
na Mwendesha Mashataka Mkuu wa Serikali Mhe Biswalo Mgangha.
Rais
Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya
Mhe. Balozi Monica Juma baada ya kukabidhi Dhahabu pamoja na pesa
iliyokamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini
Nairobi zikitoroshwa kutoka Tanzania kwenye hafla ya makabidhiano
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne Julai 24, 2019. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment