January 16, 2014

RAIS KIKWETE AMTEMBELEA WAZIRI WA SMZ
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete  wakimjulia hali Waziri wa nchi Afisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma wa Serikali ya Mapinduzi  ya Zanzibar(SMZ) Bwana Haroun Ali Suleiman aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.(Picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Pages