Rais wa zanzibar, Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia wananchi
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo.
Wananchi wakifuatiliasherehe za Mapinduzi kwenye uwanja wa Amaan
Umati uliohudhuria sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi kwenye uwanja wa Amaan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi katika kilele cha miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar kwenye uwanja wa Amaan leo.
Dk.Shein akikagua gwaride.
Wimbo a Taifa la zanzibar ukiimbwa kwenye kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi.
Askari wakitoa heshima kwenye uwanja wa Amaan zanzibar
Vijana wa Chipukizi wakipita mbele ya jukwaa kuu.
Wanajeshi wakitoa heshima kwenye uwanja wa Amaan
Askari komandoo wakionyesha vitu vyao.
Vifaa vya kijeshi vikipita mbele ya jukwaa kuu.
Magari ya kivita ni sehemu iliyonogesha sherehe hizo
Waamiaji nao wakipita na kutoa heshima zao. Picha zote na Martin Kabemba.
No comments:
Post a Comment