Rais Jakaya Mrisho Kikwete akutana na kufanya
mazungumzo na Rais mpya wa Misri Mhe Abdel Fattah Al-Sisi mjini Malabo,
Equatorial Guinea, pembeni ya Mkutano wa kawaida wa Umoja wa Afrika. PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais mpya wa Misri Mhe Abdel Fattah Al-Sisi.
No comments:
Post a Comment