Mwenyekiti wa Kikundi cha Tumaini Saccos, akiowanesha namna sanduku maalumu la kutunzia taarifa za kikundi chao linavyolindwa, wakati maofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania walipokwenda hivi karibuni kukagua miradi mbalimbali ya wananchi wilayani Arumeru inayowezeshwa na Taasisi ya ACE AFRIKA kwa ufadhili wa TBL.
Mwanachama wa Tumaini Saccos ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa kikundi hicho akionesha baadhi ya shughuli anazozifanya mbazo amewezeshwa na ACE AFRICA chini ya ufadhili wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Maofisa wa TBL walikwenda hivi karibuni kukagua miradi ya kikundi hicho.
Mkulima wa bustani ya ndizi na mboga za majani, Isaya Supuk wa kijiji cha Olmotonyi, wilayani Arumeru, Arusha akiwaonesha maofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na ACE AFRICA namna shamba lake lilivyostawi wakati maofisa hao wa TBL walipokwenda hivi karibuni kukagua shughuli hizo zilizofadhiliwa na na kampuni hiyo.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi akizungumza na Mkurugenzi wa ACE AFRICA (TANZANIA), Joanna Waddington ofisini kwake Arusha, hivi karibuni kuhusu ufadhili wao unaowezeshwa na taasisi hiyo kwa wananchi wa Arumeru katika shuguli mbalimbali za maendeleo..
No comments:
Post a Comment