Usiku wa tarehe 3 ndani ya New Maisha Club Dar
es Salaam kulikuwa na Talent Show ya mamiss wote wanaogombania taji la
kuwa Redd’s Miss Tanzania 2014, mabinti walikuwa 30 na kila mmoja
aliweza kuonyesha Talent yake na kila mmoja alifanya vizuri. Hizi ni
baadhi tu ya picha nilizowachukulia wadau wangu ili na nyie msiwe
mmepitwa.
No comments:
Post a Comment