HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 27, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA BOTSWANA,AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na  Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.

No comments:

Post a Comment

Pages