HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 14, 2015

BENKI YA CRDB YATANGAZA MATOKEO YA UUZAJI WA HISA STAHILI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. 
 Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akizungumza katika hafla hiyo.
 Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa (kulia) akiwa katika hafla hiyo.
 Baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB.
  Baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB.
 Wakuu wa idara mbalimbali wa benki ya CRDB.

Naibu Mkurugenzi wa Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Ester Kitoka (katikati) akiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji
 wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay.
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari
wakati wa kutangaza matokeo ya Uuzaji wa Hisa Stahili, ambapo benki hiyo ilianza rasmi kuuza hisa stahili milioni 435.3 kwa bei ya sh. 350 kwa kila hisa. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (kushoto) akisalimiana na  Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
 Maofisa wa Benki hiyo.

No comments:

Post a Comment

Pages