Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Bibi
Jenista Mhagama (Mb), akiangalia Sehemu ya mtaro wa maji katika eneo la Tegeta,
Basihaya wilayani Kinondoni, Jijini Dar es Salaam leo wakati alipofanya ziara
kuangalia jinsi wilaya hiyo ilivyojiandaa kukabili maafa ya Mvua zinazoendelea kunyesha jijini humo, kulia
kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Bibi
Jenista Mhagama (Mb), akimsikiliza mkazi wa Tegeta, Basihaya Jijini Dar es
Salaam, Jumanne Malongo alipokuwa akimueleza jinsi wembamba wa mtaro huo
unavyosababisha maji kujaa katika makazi yao,
leo wakati alipofanya ziara kuangalia jinsi wilaya hiyo ilivyojiandaa
kukabili maafa ya Mvua zinazoendelea
kunyesha jijini humo, kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda.
Kaimu Mkurugenzi
Halmashauri ya Manisipaa kinondoni, Ando Mwakunga akimueleza Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu),
Mhe. Bibi Jenista Mhagama (Mb), uharibifu wa “kalvati” katika eneo la Boko, Ununio
Jijini Dar es Salaam, leo wakati Waziri huyo alipofanya ziara kuangalia jinsi
wilaya hiyo ilivyojiandaa kukabili maafa ya
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini humo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Bibi
Jenista Mhagama (Mb), akiteta na Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya
Waziri Mkuu, Brig. Jen, Mbazi Msuya juu ya ujenzi wa mtaro wa maji katika eneo
la Mnyamani, Buguruni wilayani Ilala, Jijini Dar es Salaam leo wakati
alipofanya ziara kuangalia jinsi wilaya hiyo ilivyojiandaa kukabili maafa
ya Mvua zinazoendelea kunyesha jijini
humo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu (Sera, Bunge; Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Bibi
Jenista Mhagama (Mb), akitoa maelekezo baada ya kutoridhishwa na ujenzi wa
mtaro wa maji katika eneo la Mnyamani, Buguruni Ilala Jijini Dar es Salaam, kwa
Uongozi wa Halmashauri ya Manispaa hiyo kumpatia taarifa ndani ya siku tano
inayoeleza ni jinsi gani
watakavyokamilisha ujenzi huo, leo wakati alipofanya ziara kuangalia
jinsi wilaya hiyo ilivyojiandaa kukabili maafa ya Mvua zinazoendelea kunyesha jijini humo. (Picha
zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment