Meneja Kiongozi Masoko
na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice
Chiume akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari
Maelezo jijini Dar es Salaam leo, kuhusu namna shirika hilo lilivyojipanga katika kuboresha huduma zake kwa kutumia mitandao ya kijamii ikiwemo face book, twiter na instagram. Katikati
ni Ofisa Uhusiano Mkuu Mwandamizi wa NSSF, Salim
Kimaro na Ofisa Masoko Mwandamizi NSSF, Amina Mbaga.
(Picha na Francis Dande)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment