May 21, 2016

SEMINA YA WANAHISA WA BENKI YA CRDB YAFANYIKA JIJINI ARUSHA

Baadhi ya Wanahisa wakijiandikisha kabla ya Semina iliyofanyika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha. (Picha na Francis Dande)
Wanahisa wakijiandikisha.
Wanahisa wakijiandikisha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk Charles Kimei akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa jili ya wanahisa.
Ibrahim Mshindo kutoka DSE akichangia mada.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza katika semina ya Wanahisa wa benki hiyo. 
Washiriki wa semina.
Wanahisa.
Washiriki.
Wanahisa.
 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kushoto) akiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhyay.
Wanahisa.
Mtangazaji mkongwe Salim Mbonde ambaye ni Mwanahisa wa Benki ya CRDB akichangia mada katika semina ya wanahisa.
 Mwanahisa akiuliza swali.
Wanahisa wakiwa katika mkutano.

No comments:

Post a Comment

Pages