May 17, 2016

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Salaam, leo hatutakuwa na Press conference kamailivyodesturi. Badala yake, mkutano huo wa waandishi wa habari tutaufanya keshoJUMATANO ambako pia Kocha Mkuu wa timu  ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa atatangaza kikosi cha kuikabili Harambee Stars ya Kenya Mei 29, 2016 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa kabla ya kuivaa Misri Juni 4, mwaka huu kuwania kucheza AFCON 2017.

Baadayesaatisa, nitarushamatokeokatiya India na Serengeti Boys ya Tanzania.


IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)

No comments:

Post a Comment

Pages