Salaam, leo hatutakuwa na Press conference kamailivyodesturi.
Badala yake, mkutano huo wa waandishi wa habari tutaufanya keshoJUMATANO ambako pia Kocha Mkuu wa timu ya soka ya
Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa atatangaza kikosi cha
kuikabili Harambee Stars ya Kenya Mei 29, 2016 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa kabla ya kuivaa Misri Juni
4, mwaka huu kuwania kucheza AFCON 2017.
Baadayesaatisa, nitarushamatokeokatiya India na Serengeti Boys
ya Tanzania.
No comments:
Post a Comment