MFUKO WA PENSHENI WA LAPF
UNAWATANGAZIA WASTAAFU WANAOLIPWA PENSHENI NA LAPF KUWA KUTAKUWA NA ZOEZI LA
UHAKIKI WA WASTAAFU NCHI NZIMA KUANZIA TAREHE 13.06.2016 HADI TAREHE 24.06.2016
KUANZIA SAA MBILI KAMILI ASUBUHI.
TAREHE KAMILI KWA KILA WILAYA INAPATIKANA
KWENYA MAGAZETI YA MWANANCHI YA TAREHE 06.06.2016,
08.06.2016 NA 10.06.2016, DAILY NEWS LA TAREHE 07.06.2016 NA 09.06.2016
NA TOVUTI YA MFUKO www.lapf.or.tz KILA
MSTAAFU ANATAKIWA KUFIKA NA PICHA MOJA NDOGO (PASSPORT SIZE) NA KITAMBULISHO
CHOCHOTE.
KILA MSTAAFU ANAYELIPWA
PENSHENI NA LAPF UNAOMBWA UJITOKEZE KWENYE OFISI ZA HALMASHAURI ZILIZO KARIBU
NAWE.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0767-600043 AU 0753-999991.
“STAAFU KWA UFAHARI NA LAPF”
No comments:
Post a Comment