HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 18, 2016

MFUKO WA PENSHENI WA LAPF WAIPIGA JEKI HOSPITALI YA WILAYA YA KISARAWE

 Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF,  James Mlowe akimkaribisha Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI,  Selemani Jaffo katika hafla ya kukabidhi mashuka kwa hospitali ya Wilaya ya Kisarawe iliyopo mkoa wa Pwani.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI,  Selemani Jaffo, akipokea msaada wa mashuka kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. James Mlowe wilayani humo juzi kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe (kulia). Kulia ni Diwani wa Kata ya Kisarawe,  Abel Mido na kushoto ni  Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe, Elizabeth Oming’o. 
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF,  James Mlowe, akifafanua jambo katika hafla ya kukabidhizi Mashuka katika Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI,  Selemani Jaffo, akifafanua jambo katika hafla ya kukabidhizi Mashuka katika Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe. 
Baadhi ya wafanya kazi wa Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe , wakiwa kwenye hafla ya kukabidhizi Mashuka katika Hospitali hiyo.
 Mgeni rasmi Naibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI,  Selemani Jaffo (katikati), akiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages