HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 02, 2016

MWANDISHI WA KITUO CHA LUNINGA CHA AZAM KUZIKWA LEO

Mpiga picha wa Azam TV, Omar Masoud mdogo wake na Saleh Masoud wa Clouds TV aliyefariki jana kwa ajali ya pikipiki, mazisi yake yatafanyika leo Jumapili Julai 3 katika makaburi ya Boko jijini Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment

Pages