Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama (kulia) akipokelewa na Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara mara baada ya kuwasili katika banda la Shirika hilo. (Picha na Francis Dande)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama akisalimiana naOfisa Uhusiano wa NSSF, Devota.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama (kulia), akipata maelezo kutoka Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama (kulia), akipata maelezo kutoka Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
Kazi, Ajira na Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama (wa pili kulia), akipata maelezo
kutoka kwa Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume (kulia),
wakati alipotembelea banda la NSSF kwenye maonyesho ya Biashara ya 40 ya
Kimataifa katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Wa pili
kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Prof. Godius Kahyarara.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama (katikati), akiwa katika banda la NSSF.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama akiangalia Kadi ya mwanachama aliyejiunga na NSSF katikamonyesho ya Sabasaba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana na Walemavu, Jenista Mhagamaakizungumza na waandishi wa habari.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama (wa pili kulia), akipokea zawadi kutoka kwa Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume (kulia), wakati alipotembelea banda la NSSF kwenye maonyesho ya Biashara ya 40 ya Kimataifa.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara (kulia), akimkabidhi zawadi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama, katikati akishuhudia ni Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume.
No comments:
Post a Comment