HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 12, 2016

WAZIRI WA MIFUGO AZINDUA JENGO LA KIMATAIFA LA UPOKEAJI MIZIGO KUTOKA NJE

Waziri wa Kilimo,  Mifugo na Uvuvi, Dtk Charles Tizeba, akikata utepe, wakati wa uzinduzi rasmi wa Jengo la Kimataifa na Kisasa la Upokeaji wa Mizigo kutoka nje, lilojengwa na Kampuni ya Swissport Tanzania. Aliyesimama katikati ni Mwenyekiti wa Bodi wa Swissport, Bw. Mark Skinner.
Gaudence Temu (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Swissport Tanzania, akifafanua jambo kwa Waziri wa Kilimo,  Mifugo na Uvuvi, Dtk Charles Tizeba, wakati wa uzinduzi rasmi wa Jengo la Kimataifa na Kisasa la Upokeaji wa Mizigo kutoka nje, lilojengwa na Kampuni ya Swissport Tanzania. (Picha na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment

Pages