Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa kabla ya Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, kutoa taarifa ya benki hiyo kutunukiwa Daraja la Uwezo wa Kuhimili Madeni ya Makampuni ya Kimataifa ya Moody's.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa taarifa ya benki hiyo kutunukiwa Daraja la Uwezo wa Kuhimili Madeni ya Makampuni ya Kimataifa ya Moody's. Kulia ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Saugata Bandyopadhyay.
Baadhi ya wakurugenzi wa benki hiyo.
Ufafanuzi.
Baadhi yawashiriki katika hafla hiyo.
Baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB.
No comments:
Post a Comment