Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya ufunguzi wa
Mkutano wa Mawaziri wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi wa Kudhibiti
Biashara na Usafirishaji wa Dawa za Kulenya kwa njia ya bahari. Mkutano huo
unafanyika mjini Colombo nchini Sri Lanka. Picha
zote na WMNN.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akisikiliza mada zilizokuwa zinatolewa katika Mkutano wa Mawaziri wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi wa Kudhibiti Biashara na Usafirishaji wa Dawa za Kulenya kwa njia ya bahari unaofanyika mjini Colombo nchini Sri Lanka.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi wa Kudhibiti Biashara na Usafirishaji wa Dawa za Kulenya kwa njia ya bahari unaofanyika mjini Colombo nchini Sri Lanka.
No comments:
Post a Comment