Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa mafuta ya kula na Mkurugenzi wa Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta cha Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2016. Wapili kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba na watatu kulia na Mbunge wa Viti Maalum na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Singida, Martha Mlata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha kukamua mafuta ya kula cha Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2017. Watatu kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi na kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugezi Mkuu wa makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal kuhusu mafuta ya kula yanayozalishwa na kiwanda cha Meru cha Singida mjini wakati alipotembelea kiwanda hicho.
No comments:
Post a Comment