HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 09, 2016

WAZIRI MKUU ATOA TUZO YA MWAJIRI BORA

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akizungumza  kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kukabidhi tuzo kwa washindi wa tuzo ya mwajiri bora kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo ya mshindi wa Jumla ya Mwajiri Bora, Bw. David Magese wa Kampuni ya Bia Tanzania baada ya kampuni yake kunyakua tuzo hiyo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kiataifa cha Julius  Nyerere jijini Dar es salam Desemba 9, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo ya mwajiri bora kwenye  Ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama na wapili kulia kwake ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Abdallah Posi.

No comments:

Post a Comment

Pages