Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni (kushoto), akisindikizwa na kiongozi wa Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Songwe baada ya kuwasili jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), akisalimiana na viongozi wa Idara za wizara yake hiyo jijini Mbeya baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe kwa ziara ya kikazi.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.Wengine ni viongozi wa idara za wizara yake jijini hapo.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(katikati), akizungumza na aliyewahi kuwa kiongozi katika Serikali zilizopita,Profesa David Mwakyusa (kushoto), baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.
No comments:
Post a Comment