HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 16, 2017

NSSF YADHAMINI MKUTANO WA MAOFISA RASILIMALI WATU KUTOKA MAKAMPUNI NA TAASISI MBALIMBALI

Kaimu Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bathlow Mmuni akizungumza katika Mkutano wa Maofisa Rasilimali Watu wa Makampuni na Taasisi mbalimbali uliofanyika mwishoni mwa wiki mjini Morogoro na kuandaliwa na NSSF. Kushoto ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu NSSF, Dominic Mbwette na Mkurugenzi wa Fedha NSSF, Alfonce Tikyeba.  (Picha na NSSF). 
Mkurugenzi wa Fedha NSSF, Alfonce Tikyeba akizungumza katika mkutano huo.

  

Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages