Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Vincent Barnabas (kushoto), akichuana na beki wa Simba SC, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Timu hizo zilitoka Suluhu. (Na Mpiga Picha Wetu).
Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Vincent Barnabas (kushoto), akichuana na beki wa Simba SC, Mohamed Hussein
Abdi Banda akiambaa na mpira.
No comments:
Post a Comment