Mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu akipongezwa na
wachezaji wenzake baada ya kuipatia timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi
Kuu Tanzania Bara dhidi ya Tanzania Prisons uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam. Simba ilishinda 3-0. (Picha na Francis Dande).
Ibrahim Ajibu akimshukuru mungu baada ya kuifungia timu yake bao la pili.
Jonas Mkude akitoka uwanjani huku akiwa na furaha baada ya kuifunga Prisons 3-0.
Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo akipiga tik tak mbele ya beki wa Tanzania Prisons, James Mwasote.
Mashabiki wa Simba wakishangilia bao la tatu la timu hiyo.
Kocha wa Siomba, Joseph Omog akimpongeza mshambuliaji wa timu hiyo, Laudit Mavugo.
Kocha wa Simba. Joseph Omog akipongezwa na kocha wa Tanzania Prisons, Abdallah Mohamed baada ya kumalizika kwa pambano lao la Ligi Kuu ambapo Simba imeshinda 3-0.
Wachezaji wa Simba wakipongezana baada ya mchezo.
Mavugo akimtoka beki wa Prisons, Salum Kimenya.
Wachezaji wa timu ya taifa chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' wakishuhudia mchezo huo.
Nurdin Chona akiwani mpira na Laudit Mavugo.
Beki wa Prisons, Nurdin Chona akimtoka mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo.

No comments:
Post a Comment