Mwalimu wa mazoezi ya Infinity Fitness iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam, Dulla Salum, akiongoza mazoezi ya wanamichezo mbali mbali waliojumuika kwenye Jumamosi ya Mazoezi iliyoitwa Afya ni Utajiri na kudhaminiwa na bia ya Windhock na Coca Cola.
Baadhi ya wanamichezo kutoka sehemu mbailmbali wakifanya mazoezi katika Infinity Fitness iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam jana waliojumuika kwenye Jumamosi ya Mazoezi iliyoitwa Afya ni Utajiri na kudhaminiwa na bia ya Windhock na Coca Cola.

Mwalimu wa Home Gym ya Mwenge jijini Dar es Salaam, Andrew Mango, akiongoza mazoezi ya wanamichezo mbali mbali waliojumuika kwenye Jumamosi ya Mazoezi iliyoitwa 'Afya ni Utajiri' na kufanyika katika kituo cha mazoezi cha Infinity Fitness kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mwalimu wa mazoezi ya Infinity Fitness iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam, Dulla Salum, akiongoza mazoezi ya wanamichezo mbali mbali waliojumuika kwenye Jumamosi ya Mazoezi iliyoitwa Afya ni Utajiri.
Mazoezi yakiendelea.
Wanamichezo mbalimbali wakiwa katika mazoezi.
Mazoezi yakiendelea.
Wanamichezo wakiendelea na mazoezi.
Mwalimu wa mazoezi ya Infinity Fitness iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam, Dulla Salum, akiongoza mazoezi ya wanamichezo mbali mbali waliojumuika kwenye Jumamosi ya Mazoezi iliyoitwa Afya ni Utajiri na kudhaminiwa na bia ya Windhock na Coca Cola.
Walimu wa mazoezi

No comments:
Post a Comment