Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Tabia Manoro akimueleza mteja namna ya kujiunga na huduma ya SimBanking kupitia ATM katika Tawi la Benki hiyo mjini Moshi.
Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Tabia Manoro (kushoto), akimuunganisha mteja kwenye huduma ya SimBanking, ili kumuwezesha kupata huduma za kibenki kupitia simu ya mkononi.
No comments:
Post a Comment