Ofisa wa Benki ya CRDB Tawi la Musoma, Vicent Mitimingi akimfungulia mteja akaunti pamoja na kumuunganisha na huduma bora ya SimBanking kwenye simu yake ya mkononi.
Ofisa wa Benki ya CRDB Tawi la Musoma Bw. Vicent Mitimingi akimsaidia mteja kujaza fomu kwa ajili ya kufungua akaunti. Pembeni yake aliyekaa ni Meneja wa Biashara wa Tawi hilo Bw. Muze Nangali, akimsaidia mteja kujiunga na huduma ya SimBanking. Pembeni mwa meneja huyo ni maafisa wa Benki hiyo Bw. Emmanuel Tumaini pamoja na Happiness Massawe, wakimuunganisha mteja na huduma ya SimBanking.
Ofisa wa Benki ya CRDB Tawi la Nyerere jijini Mwanza, Faraj Yaseen akimuunganisha mteja na huduma ya SimBanking.
Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Heriaman Kilimba na Ofisa wa benki hiyo tawi la Nyerere jijini Mwanza, Benjamin Gwazayo, wakiwahudumia wateja kwenye gari litoalo huduma mahali popote la benki hiyo.
No comments:
Post a Comment