Katibu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Neville Meena, akizungumza kufungiwa kwa gazeti la Mawio jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya TEF, Jesse Kwayu na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Theophil Makunga.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Theophil Makunga, akitoa tamko la kulaani kufungiwa wa gazeti la Mawio jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mjumbe wa Bodi ya TEF, Jesse Kwayu. (Picha na Francis Dande).
No comments:
Post a Comment