HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 04, 2017

BENKI YA CRDB TAWI LA MBEZI BEACH WASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali cha Benki ya CRDB, Elibariki Masuke, akizungumza na wateja wa benki ya CRDB tawi la Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. Kulia ni Ofisa Mikopo wa Benki ya CRDB wa tawi hilo, Casmir Fissoo. (Picha na Francis Dande).
Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali cha Benki ya CRDB, Elibariki Masuke, akizungumza na wateja wa benki ya CRDB tawi la Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Mbezi Beach, Wemaeli Msechu, akizungumza na wateja wa tawi hilo wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
 Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Mbezi Beach, Wemaeli Msechu, akizungumza na wateja wa tawi hilo wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Ofisa Mikopo wa Benki ya CRDB tawi la Mbezi Beach, Casmir Fissoo, akizungumza katika hafla ya Wiki ya Hukuma kwa Wateja iliyoandaliwa na tawi hilo kwa ajili ya wateja wake.
 Mteja wa Benki ya CRDB akiishukuru Benki hiyo kwa utendaji wake mzuri.
Baadhi wa maofisa wa Benki ya CRDB.
 Wateja.
Meneja wa Benki ya CRDB, Tawi la Mbezi Beach, Wemaeli Msechu (kulia) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali cha Benki hiyo, Elibariki Masuke na Meneja wa Wateja wa Mikopo Midogo na ya Kati wa Benki hiyo, Mussa Mwinyidaho.
 Mteja wa Benki ya CRDB, Elisante Murro, akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
 Mteja wa Benki ya CRDB, Elisante Murro, akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.
Karibuni keki.
Baadhi ya wateja wa Benki ya CRDB Tawi la Mbezi Beach wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wateja wa Tawi la Mbezi Beach wakiwa katika maadhimisho ya Wiki  ya Huduma kwa Wateja iliyoandaliwa na Tawi la Benki ya CRDB Mbezi Beach.
Keki.
 Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Mbezi Beach, Wemaeli Msechu (kushoto), akiwakaribisha wateja wa benki hiyo kukata keki.
Wateja wakikata keki.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Mbezi Beach, Wemaeli Msechu (kushoto), akimlisha keki mteja wa benki hiyo.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages