Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Kariri, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa promosheni iliyokuwa na lengo la kurudisha shukrani kwa mawakala wa Tigo Pesa katika kipindi cha Sikukuu za Mwaka Mpya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Kariri, akimkabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni 15, mmoja wa mawakala walioshinda promosheni ya mawakala wa Tigo Pesa, Roida Kipinya.
Mshindi wa Sh. Milioni 10, Mojelwa Mlinga.
Mshindi wa Sh. Milioni 2, Vicky Ibrahim, akipokea zawadi yake.
Mshindi wa Sh. Milioni moja, Said Khatib, akitopokea mfano wa hundi.
shindi wa Sh. Milioni 10, Mojelwa Mlinga, akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupokea mfano wa hundi ya Sh. Mill. 10.
Said Khatib akizungumza na waandishi wa habari.
Vicky Ibrahim akizungumza baada ya kupokea hundi yake.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Karikari (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa promosheni ya mawakala wa Tigo Pesa.
Washindi wakiwa na hundi zao.
No comments:
Post a Comment