HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 11, 2018

WENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA PERAS KINGUNGE

 Peras Kingunge Ngombale Mwiru enzi za uhai wake.
Waziri Mkuu mstaafu Jaji mstaafu Joseph Warioba akimpa pole Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyefiwa na mke wake Peras Kingunge.  Kushoto ni Enock Ngombale Mwiru. Peras amezikwa leo katika makaburi ya Kinondoni.
 Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye akiwasili nyumbani kwa mzee Kingunge Ngombale Mwiru victoria jijini Dar es Salaam.
 Waombolezaji wakiwa nyumbani.
 Mzee Kingunge akimlilia mke wake Peras kwa uchungu baada ya kuona mwili wake wakati wa kuaga mwili.
 Mzee Kingunge akimuaga mkewake Peras wakati wa ibada ya kuaga mwili wa marehemu nyumbani kwake Victoria jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge mstaafu, anne Makinda akitoa heshima za mwisho.
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na mke wake wakitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Peras Kingunge ambaye ni mke wa mwanasiasa mkongwe mzee Kingunge Ngombale Mwiru nyumbani kwake victoria jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chadema, Freman Mbowe akitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Peras Kingunge ambaye ni mke wa mwanasiasa mkongwe mzee Kingunge Ngombale.
Baadhi ya waombolezaji. 
Mzee Kingunge akiwa akiwa katika ibada ya kuaga mwili wa mke wake marehemu Peras.

Mzee Kingunge.
Kutoa heshima za mwisho.
Steven Wassira akitoa heshima za mwisho.
Gari litakalobeba mwili wa marehemu.
 Safari ya kuelekea kanisani ikianza.
Mwili ukitolewa nyumbani.
 Mwili ukiwa ndani ya gari maalumu.

Waombolezaji wakielekea kanisani.

No comments:

Post a Comment

Pages