Wachezaji wa Yanga wakimpongeza mshambuliaji wa timu hiyo, Obrey Chirwa, baada ya kufunga bao la pili kati ya matatu aliyofunga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Njombe Mji kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 4-0. (Picha na Said Powa).
Wachezaji
wa Yanga wakimpongeza mshambuliaji wa timu hiyo, Obrey Chirwa.
Kiungo
wa Yanga Pius Buswita ambaye jana alicheza nafasi ya mshambuliaji wa
kati akimiliki mpira mbele ya mabeki wa timu ya Njombe Mji katika mchezo
wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mshambuliaji
wa Yanga, Juma Mahadhi akijiandaa kupiga mpira.
Beki
wa kushoto wa Yanga, Gadiel Michael akimiliki mpira mbele ya beki wa
Njombe Mji, Willy Mgaya.
No comments:
Post a Comment