Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Mafunzo Maalum ya
Kijeshi kilichopo Mapinga, Bagamoyo Mkoani Pwani. Wa Pili kushoto anayevuta
utepe ni Naibu Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Mafunzo kutoka tume Kuu ya Kijeshi
ya China Meja Jenerali Yang Jian na wa kwanza kushoto anayepiga makofi ni
Balozi wa China hapa nchini Wang Ke.
Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimpongeza Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania (CDF)
Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kufungua Kituo hicho cha Mafunzo Maalum
ya Kijeshi kilichopo Mapinga, Bagamoyo Mkoani Pwani
Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimshukuru Naibu Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Mafunzo kutoka tume
Kuu ya Kijeshi ya China Meja Jenerali Yang Jian mara baada ya ufunguzi wa kituo
hicho ambacho kimejengwa kwa msaada kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China.
Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimsikiliza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husein
Mwinyi wakati alipokuwa akiandika jambo katika hotuba yake.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akihutubia wananchi mara baada ya kufungua Kituo cha Mafunzo
Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga, Bagamoyo Mkoani Pwani.
Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiagana na Balozi wa China hapa nchini, Wang Ke mara baada ya
kukifungua kituo hicho cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi.
Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiagana na Naibu Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Mafunzo kutoka tume
Kuu ya Kijeshi ya China Meja Jenerali Yang Jian mara baada ya kukifungua kituo
hicho cha Mafunzo Maalum ya Kijeshi.
Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akifurahia jambo wakati alipokuwa akizungumza na Mbunge wa Bagamoyo
Dkt. Shukuru Kawambwa, Mbunge wa Chalinze Ridhiwan Kikwete pamoja na Mkuu wa
mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo mara baada ya kufungua kituo hicho cha
Mafunzo Maalum ya Kijeshi.
Amiri
Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mapinga(hawaonekani pichani)
waliokuwa wakiwasilisha kero mbalimbali za ardhi wakati alipokuwa akirejea
jijini jijini Dar es Salaam mara baada ya kufungua kituo hicho cha Mafunzo
Maalum ya Kijeshi kilichopo Mapinga mkoani Pwani.
Amiri Jeshi
Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makomandoo wa JWTZ ambao walishiriki
katika mazoezi ya Kijeshi kabla ya ufunguzi wa kituo hicho.
Kikundi cha
Ngoma za asili cha Makao makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania kikitumbuiza
wakati wa sherehe za ufunguzi wa kituo hicho cha Mafunzo maalum ya Kijeshi
kilichopo Mapinga mkoani Pwani. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment