Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Uendeshaji na Huduma kwa Wateja wa Benki ya
CRDB, Esther Kitoka, akitoka hotuba kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Beki
ya CRDB, Dk. Charles Kimei, katika hafla ya kukabidhi mfano wa
hundi yenye thamani ya Shs. Mill 240 kwa ajili ya kusaidia kukamilisha ukarabati na upanuzi wa Jengo la
Huduma za Wagonjwa wa Dharula katika
Hospotali ya Rufaa ya Bugando, jijini Mwanza Mei 25, 2018. Kulia ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya Bungando, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu
Katoliki la Mwanza, Mhashamu Yuda Thaddeus Ruwa'ichi na kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Dk. Abel Makubi.
Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Uendeshaji na Huduma kwa Wateja
wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (katikati), akikabidhi kwa niaba ya
Mkurugenzi Mkuu wa Beki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, mfano wa hundi yenye
thamani ya Shs. Mill. 240 kwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya Bungando, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu
Katoliki la Mwanza, Mhashamu Yuda Thaddeus Ruwa'ichi, kwa ajili ya
kusaidia kukamilisha ukarabati na upanuzi wa Jengo la Huduma za Wagonjwa
wa Dharula (Emergency Medicine Department) katika Hospotali ya Rufaa ya
Bugando, jijini Mwanza Mei 25, 2018. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa benki hiyo, Tully Mwambapa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Dkt. Abel
Makubi, akimueleza jambo Naibu Mkurugenzi Mtendaji, Uendeshaji na Huduma
kwa Wateja wa Benki ya
CRDB, Esther Kitoka (koti jeusi) pindi walipotembelea sehemu ya Jengo la
Huduma za wagonjwa wa dharula
(Emergency Medicine Department) inayofanyiwa ukarabati katika Hospotali
ya Rufaa ya Bugando,
jijini Mwanza Mei 25, 2018. Wengine pichani ni baadhi ya Wakurugenzi wa
Benki ya CRDB pamoja na Uongozi wa Hospitali hiyo.
No comments:
Post a Comment