May 25, 2018

WABUNGE WACHANGIA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI BUNGENI MJINI DODOMAMATUKIO YA BUNGENI KATIKA PICHA

 Mbunge wa Madaba mkoani Ruvuma, Joseph Mhagama (CCM), akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini bungeni jijini Dodoma.
 Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe. akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na Madini.
Waziri wa Nishati na Madini Dk.Medard Kalemani, akiitimisha bajeti ya wizara yake bungeni jijini Dodoama.
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'sugu' akiwa na  na Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule 'Prof. J' wakati wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Pages