Katibu Mtendaji wa Baraza
la Taifa la Biashara (TNBC), Raymond Mbilinyi na Kiongozi wa Mradi wa LIC, Flemming
Winther Olsen wakiweka saini ya mkataba wa kazi wa uboreshaji mazingira ya biashara
na uwekezaji nchini. Mikataba hiyo imesainiwa Mei 22, 2018 katika Ofisi za TNBC jijini Dar es Salaam.Katibu Mtendaji wa Baraza
la Taifa la Biashara (TNBC), Raymond Mbilinyi (kushoto), na Kiongozi wa Mradi wa LIC, Flemming
Winther Olsen wakibadilishana mkataba baada ya kusaini makubaliano ya kazi
baina yao katika Ofisi za TNBC
Jijini Dar es Salaam Mei 22, 2018.Katibu Mtendaji wa
Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Raymond Mbilinyi, akizungumza na waaandishi wa
habari baada ya kusaini mkataba wa kazi na mradi wa uboreshaji mazingira ya biashara na uwekezaji nchini (LIC)
unaofadhiliwa na Denmark. Kulia ni Kiongozi wa Mradi wa LIC, Flemming
Winther Oslen. Kiongozi wa Mradi
wa LIC, Flemming Winther Oslen, akiwaelezea waandishi wa habari dhumuni la
ufadhili wa mradi huu kwa TNBC ni kutaka kuiinua sekta binafsi na kuipa
nguvu na kuweza kushirikiana na serikali katika kuinua uchumi wa nchi. Kushoto ni
Katibu Mtendaji wa TNBC Raymond Mbilinyi. Imetolewa na Ofisa Habari Ofisi ya Waziri
Mkuu Dar es Salaam.
May 22, 2018
Home
Unlabelled
TNBC YAISAINI MKATABA WA UBORESHAJI MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI (LIC)
TNBC YAISAINI MKATABA WA UBORESHAJI MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI (LIC)
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment