June 20, 2018

KUTOKA BUNGENI DODONI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi, bungeni  jijini Dodoma Juni 20, 2018. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Joseph Kakunda, bungeni jijini Dodoma Juni 20, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mvomero,  Suleiman  Saddiq, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 20, 2018.

No comments:

Post a Comment

Pages